Kuna Nyang’au Imenikulia Dem

By | Silicon Editorial | 3 Comments

*Silicon Editorial*

Ni Friday saa kumi na moja jioni. Mose na Willy wametoka CAT. Wamefika tu saa hizi kwa room. Willy anatoa key anaanza kufungua mlango. Anajaribu kufungua mara kadhaa alafu anasema, “Hii padi ikona ufala.” Mose anaketi. Hapo kando ya mlango tu. Kwa simiti. After kama dakika moja Willy anafungua na anaingia.

Mose anakaa hapo nje dakika ka mbili alafu finally anajiinua anaingia. Anakaa kama msee ameshinda shamba tangu morning. Anatoa viatu, anarudisha mlango alafu anajiangusha kama mawe kwa bed.

Willy anaangalia Mose anacheka. “Nini mbaya na wewe? Kwani CAT imekuonyesha aje?” Willy anamuuliza.

Mose anageuka anaangalia Willy na macho mbaya alafu anaamua kuketi. Anaclick alafu anasema, “Ata si CAT. Though pia CAT nilikuwa nje ka fuckin. Sikuwa najua shiet. Ispokuwa ni vile tulikuwa tumekaa wewe side moja na Nancy hio side ingine, mimi ningepata sufuri tu roho safi. Mmeniokolea bana.”

Willy anasema, “Si basi unafaa kuwa umechangamka. Leo ni Friday. Najua huwezi kosa fom mkiwa na Caro.”

Mose anacheka alafu anasema, “Baaas. Hapo sasa ndio shida iko. Mimi nimesare madem. Sitaki story zao. Nataka tu niende klabu nilewe kama ghasia, niibiwe simu, nipigepige wasee kadhaa alafu nibleki niamke next week.”

Willy anamuuliza, “Kwani Caro alikufanyia nini?”

Mose anaclick. “Kwanza usitaje hio jina tena.”

Wananyamaza. Willy anatoa simu anaingia WhatsApp anaanza kuona status.

“Caro alinicheat bana,” Mose anasema tu out of nowhere. Willy anaweka simu kando anaacha status zikijiona. “Ati?”

“Eee. Alafu huskii to make matters worse…” Mose anaacha kuongea. Anacheka ile kicheko ya uchungu alafu anaendelea, “To make matters worse unajua alinicheat na nani… Jeymoh.”

Willy anakunja uso. “Jeymoh mgani?”

“Hujui jamaa fulani ilikuwa inanyoa kama polisi tulikuwa tunacheza ruji nayo?” Mose anauliza.

“Zi.”

“Ashai kuja huku wakiwa na hiyo mbogi yetu ya ruji. Kalikuwa kajamaa kafupi kuniliko kameunga lakini si sana. Humkumbuki?” Mose anasema. Before Willy ajibu Mose anaendelea, “But aliacha kucheza last year ata. Anyway, huyo ndiye jamaa alinikulia dem. Jamaa tumecheza na yeye for two years. Two years!! Karibu nimuuue bana.”

“Kuwa serious. Ati karibu umuue?” Willy anauliza.

“Ai. Eee. Unaona hii alama nikonayo kwa uso si nilikuambia nimeumia tukicheza ruji. Ni ngumi ya Jeymoh hiyo. Lakini na yeye niliharibu uso yake kabisa. Ukimuona saa hii utamhurumia.” Mose anacheka kiasi alafu anaendelea, “Imagine jamaa naenda kumcomfront alafu anasema yeye hana makosa juu pia dem alikuwa anataka. Nakuambia ispokuwa ni majamaa walikuwa karibu walituachanisha, ningekuwa jela saa hii nikiwa nimeua hiyo fala. Ati hana makosa! Na ananiangalia kwa macho akisema hivo. Hana aibu ata kidogo.”

“Caro alisema aje kuhusu hiyo story?” Willy anamuuliza.

“Saa angesema aje? Ata sikuwa namskiza. Nilikuwa namuangalia hivi naskia kumgongesha kwa ukuta,” Mose anasema akiwa amejam.

“Ulimuuliza mbona alicheat?” Willy anauliza.

Mose ananyamaza.

Willy anachukua simu anapata status zilikuwa zinajiona na saa hiyo kuna chats kadhaa hajareply. “Fuck!”

“Ati Caro na huyo boy wametoka mtaa moja na ati kuna time walikuwa wanadate nahuko first year alafu wakaachana. Sasa huskii Caro ananiambia ati, ‘Tulianza kuongea alafu it just happened.’” Mose ananyamaza.

“Wah. Iza bro. Sasa mmeachana?” Willy anauliza.

“Kuachana ama sitaki kuwai muona tena?” Mose anasema alafu anajiangusha tena kwa bed. “Mimi nataka tu nilewe kabisa nijisahau. Ata ispokuwa ni hiyo CAT saa hii singekuwa sober.”

Willy anaanza kucheka. Mose anaamka anamuangalia. “Nini inakuchekesha?” Mose anamuuliza.

“Ni vile sisi wote wawili hatuna dem. Mimi at least naweza laumu sura yangu kiatu. Lakini sasa wewe na vile madem wote hukuwa wamekukufia, alafu sasa ndio huyo wewe umecheatiwa… Usinipige lakini hio kitu ni funny,” Willy anasema alafu anaendelea kucheka. Anaanguka kwa bed bado akicheka. Mose anamuangalia tu.

“Ukimaliza kucheka uniambie,” Mose anasema.

Willy anakaa straight kwa bed alafu anasema, “Pole bro. Aki si wewe nachekelea. Ni hii situation. Lakini wacha niache kucheka. Nitacheka saa yenye hauko.”

“We ni mjinga sana by the way. Nani alikuambia madem huangalia sura?” Mose anauliza.

“Si wanaangalianga sura. Ata kama kuna factor zingine kama pesa, wanaangalianga sura bado,” Willy anajibu.

Mose anacheka alafu anasema, “Ngai! Willy wetu tutakusaidia aje? Madem hawaangaliangi sura.”

Willy anasema, “Of course utasema hivo juu wewe unakaa Chris Brown.”

Mose anaclick alafu anasema, “Haya. Si umesema nakaa Chris Brown. Basi niambie mbona Caro alinicheat? Ukiweza ona huyo Jeymoh tunasema…. huyo saa ndio definition ya sura kiatu. Huyo ata ni gumboot time ya mvua. Okay, wacha niache kuexaggerate. Lakini si ati ni msee wasichana wanaeza endea juu ya sura.”

Willy anasema, “Si maybe d game yake iko juu tu sana.”

Mose anasema, “Unajua ispokuwa ni vile umeniokolea kwa CAT naweza kupiga ngumi uzirai. Lakini hio sector nayo nakuwanga nimejiaminia kabisa. Naweza kupea hadi references uende ukaskie sifa zangu.”

Wananyamaza.

Mose anaanza kucheka. Anasema, “Ni turn yangu kukuchekelea. Unajua wewe ata kama ungekuwa baller bado hungekuwa na dem.” Mose anacheka akiwa amejitolea yake yote.

“Mbona?” Willy anauliza.

“Mi sijui. Mbona huna dem saa hii? Na usiniambie sura juu ata hakuna haja ya kuenda mbali. Angalia Denno mwenye anaishi ile nyumba iko karibu na gate. Tuongee tu ukweli. Denno hana sura. Lakini amekuwa na madem wangapi tangu tukuje? Hii sem pekee na hatujaimaliza amekuwa na watatu. Na si ati akona pesa. Sasa wewe utalaumu nini?”

Mose ananyamaza ndio Willy ajibu. Willy anafungua mdomo kuongea lakini anakosa cha kusema.

“Sa si unaona? Na ati unakuwanga chopi.” Mose anasema alafu anacheka. Anaacha kucheka alafu anaendelea, “Haya… Si kama ungeulizwa ungetaka dem kama Caro, sindio?”

Willy anaanza kujibu alafu ananyamaza.

“Sitakupiga. Nataka kumake point,” Mose anasema.

“Siwezi taka Caro. Lakini ningetaka dem anakaa Caro juu enyewe Caro ni mrembo,” Willy anasema.

Mose anamuambia, “Unaona ujinga yako. Unaonanga mambo na perspective moja tu. Ya urembo. Lakini ukweli ni ati kuna perspective mingi. Mingi sana actually. Mmh? Unasema ati wewe huna sura na mimi niko nayo. Sawa basi. Wewe ni chopi na mimi ni danda. Tumesema tunaongea ukweli. Hio CAT ata kama ningesomea aje, singerada. Nilikuwa sawa introduction tukianza sem. Lakini tangu tuanze kuambiwa as the limit approaches zero – hio saa ni nini kuongea ukweli?”

Willy anaanza kujibu lakini ananyamazishwa na Mose, “Nugu hii sijakuambia unijibu. Point yangu ni… unaona kama mimi ningekuwa nazurura nikijiambia mimi ni danda wa masomo, ata singekuwa naongea watu wengine wakiongea. For example, kama saa hii ningetoa wapi courage ya kukunyamazisha nikuambie vile nafikiria? Na saa hiyo maybe utapata 30 out of 30 kwa CAT na mimi nipate 11, na ni za kuibia. Ningetoa wapi hiyo nguvu? Sa si unaona wewe ni mjinga?” Mose anaendelea kucheka. Alafu kidogo kidogo anaendelea, “Bado hujaamini wewe ni mjinga? Aiyaiya. Niendelee?”

Willy anamuambia, “Nimeona point yako. Hufai kujiita danda by the way. Hio reasoning ni ya level ya juu sana.”

“Unaona? Imagine sasa kama ningekuwa najipea identity na marks zangu za CAT. Ningekuwa nishajiua kitambo. Pia wewe unafaa uchange bana. Kama unataka dem tafuta dem. Weka effort kama wale wanaume wengine. Kuna kitu nilisoma place: If you let your insecurities define you, people will see nothing but your insecurities.” Mose anasema.

Kidogo kidogo anaendelea, “Baas. Nimepata the perfect example. Si unajua Sonnie – mwenye anaishi hii plot next?”

“Eee namjua,” Willy anasema.

“Haya. Unajua Mary? Mwenye anaishi ile block iko just next to the cafe?” Mose anauliza. “Zi,” Willy anajibu. “Humjui? Dem mwenye anaishi kwa hiyo nyumba iko karibu na bafu?”

“Zi. Simkumbuki,” Willy anasema.

“Kadem fulani kafupi kanono kanakujanga…”

Willy anaminterrupt, “Oooh. Nimekaona. Anaitwa Mary?”

“Sa unaona. Ukifikiria kuhusu Sonnie kitu ya kwanza kukuja kwa akili yako ni vile anakuwanga mfunny na vile anapikanga chakula tamu… vile maneighbor wake hutuambia vile anapigishangwa nduru na boy wake usiku… the last thing utafikiria ni ati ni mnono. Lakini kuongea ukweli ni mnono kabisa. Haya… kuja kwa Mary. Mary kenye tu tunajua kumhusu ni ati ni mnono na hasilimiangi watu. Ata jina yake hukuwa unajua.” Mose anasema.

“Sawa basi, sawa basi, sawa basi! Nimeskia. Si ulisema unataka kulewa? Toka tuende Prestige kabla waanze kulipisha entrance fee. Unajua niliskia Mbogi Genje wanakam leo.”

Feel free to leave your comments at the bottom of the page. Do you like the experience of reading in the same language as the one in which you speak?

Read more Silicon Editorials:

1. Forgive me Babe, I Didn’t Mean to Kill Your Dad. Click here to read.

2. Hypocrisy 101: Whatever You Do, Don’t Talk About Sex. Click here to read.

3. Good People Can Be Rapists Too and Other Truths. Click here to read.

Discover more on DekuTrends:

1. About Last Night. Click here to read.

2. Love shouldn’t hurt. What to do when you have grown up with abusive parents. Click here to read.

3. The G-Spot and Fantasy of Female Orgasms. Click here to read.

PANDEMIK

By | Blog | No Comments

*Sharon Lotui*

Lakini ka imeweza imeweza….mali safi iende chain chain….. si ile mali tunajua,,,,io niliokoka nkasare☺️….I’m now….siezi sema born again lakini weeee mali safi iende chain….pitishia mabeshte hii link…😜. Kama zile retweet za Tonnie wa Juja huenda chain chain among my mushene group,,, kama sjawaikutumia improve on your mushenee…..😋

Juzi he was having an insta live but venye nakuaga nimepagawa na manigga wanajiaminia🤦🤣 I hed to join the live to hear words of wisdom from the pro himself…(which is….manigaa wakule watermelons(literally))😉bado najua bazenga ni Papa Fathela,,✋followed closely by Odi wa Muran’ga and then Exray babez🥴…STAMBUI MANZI WAOOOO!!!😊

OG na Octo wakabishanie mbali…..lakini OG is the lyrics for me 💯and Octo is the lyfstyle for me…😏.beef ni ya nini na tunapenda Dj Kalonje??🤷

Wamlambeeezzzz! So siezi sema ati niko maweng kibao lakini vile siko right itabidi nimeleft….😂eti juzi some chille kols me….sijui oooooh Sharo…..wen I yustu read your articles back in the days zlikuaga na “a tone of bitterness” haahhahaha vile nliruka io stori…😂😂.koz now (we all woke and changed,💁💁…niko rada videadly siezi kosa peng ting……) 😂😂Kidding…in this scenario nlikosa😯.Sema kuwa klown. This time round,,, ni kubayern!!😂😂

I ain’t sure about sharing this story so lemmie beat around the bush for a while…….First of all,,,,,,geospatial ni kos gani nlichagua aki…😩😩..ngumu kuliko haga za ngeus mkisii…😂😂haha wacha nisianze hizo…..lakini bro wako na storii…but so do Kirinyaga wimen…🤗.

Nways if your’re lgbtq+ I have never been the one to reject all types of humanity ……I accept all of them as friends and love them the same..🧡🧡Ain’t that right Emma??😂 Niruke utaona…But as for me and my family, we shall serve the Lord🌚😂…and it’s also high time people accept we’re in the 21ST century🙄..where Benzema can spit any lines he wants….but juzi amesema…RAPISTS WANYONGWE!!!!!..Kudos……justice ni wewe…😏Wapigwe chuma ya doshi uko Kamiti!!🙄

Nways ezawasayaing…juzi ofcourse out of interest and some typa online addiction and also due to public demand… 😂I hed to write this one…..So the other day I’m scrolling through sosho media of course I have to check what rich peeps are up to (for the Lord’s preparation) in fyucha😂…p.s huezi enda majuu kama hujajua watu hupiga picha zinakaaje kwa izo picha zao za veketions….🌚🙉

Speaking of vacations…eisssshhhhhhh!!!! Instagram ni ya wenyewe….🚶🚶💯anywayzzzz Rumuour zilianza…..Alejandro na Trey Songs ni mabratha…..Honeymoon yetu tutakopa tala……💆siezichochwa na mashenanigans…🙅

Speaking of shenanigans… Heeee….si the other day I’m going through all the gossip I ken …Of Course if you do not look at Xtian Dela’s insta stories uko nyuma si nini…😂😂so apparently….i had to comment on one of them stories……but atleast I did not add “Hide my ID Dela” aiiiiiiiiiiiii………si akitaka kuonyesha aonyeshe…stambui bladi facken!!😏😂😂…ata mimi nasaka picha ya kenyatta kwa walenje!!😂😂

YOU WOULD NOT WANT TO READ THIS..but yohhhh!! I think a bad bitch is a gift from GOD.. 😊Most people suffer from depression mbikos we do not express what we are feeling as yuts…🌚sijui nini….Jina ulishaharibiwa naniiiii…🤷….jenga hustle…your good name won’t feed you…correct me if I’m wrong..skuizi ni konnections..unless umesomea..covid -19 vaccine…utatekwa utatiii….kwanza io Nyairofiiiii!! Uliza Xtian Dela….😏

Uzuri sisi watu wa mushatha na tumesomea kos za mushatha tunasurvive,,😏….priss office work mkajoin Umaraya io Nairobi…😂😂…eeeeh..leo sihurumii mtu…truth will prevail….easy kama do re mi……na even though Breeder husema eti kama hana pesa atawateka tu na lugha….PRISSS…..kama si ganji kalale….!😒

Nways so here I am,,,,asking myself,,, Ronnne,,,,,, second year ndio ulikua unalilia ule boyz mhandsome😂😂 (sijui kama ni m——-waiiiitttt…my mom has just just sent some motivational video in our wozap group….and trust me,,,,,I’d rather listen to Benzema na machocha zake and my mom’s motivational videos before I answer any” I miss you text”or just any other text……..usijiulize mbona,, sisi ni mabazenga mamii…..with the WAP!😂😂😂

Lakini skuizi life ni tricky sijui sisi ngeus lazima WAP umaintain the PH of between 3.8 and 4.5..😂😂🙀 hii generation iko na mambo😑

I had my friend visit me the other day…lakini chaooosss nayooo…..seee when Cardi sed that “Seee who pop the most shit?? People whose shit not together…😂..I felt that…😯esp according to my therapist’s kiria list….but I still believe,,, shit together or apart,,,,y’all ain’t gon meet a bitch like me….knock me down nine times but I get up ten,,,,👻😎na kuchizi pia ni talanta😏

Nways,,,, short story long…..first,,,,just like Cardi,,,,im ready for the bulshit, I swear it’s in my bloodline….lakini remote sensing yoh!! Shit be making me regret the times we were @ Timo’s instead of the labs learning the softwares…😥😥..but, who get these mfs started,,? Cardi! Cardi is me in dis kantenxt…speaking of which,,, our bdays near…I say our coz I have a twin….just perfect for me.🥴 Kitaeleweka😂😂

Nways…I’m scrolling through insta and really hoping that Cardi knew how to drive at least before she left offset..but gellllll,,,,,if he ain’t act right,,,,, leave his ass alone..he for the steets.. 😏second…

So Xtian posts about how people should explain their experiences through out Corona season and some of the stories get me crying some I’m like really niggaa? 😏🧐

But they say we should not judge but here is King Bethsheba with the argument. According to me,, after covid, there have been two types of people🤔🤔 according to what to them stories said,,,🗯️

So both groups lost jobs and stuff mbikos of corona,,which (is nobary’s fault btw)🤷..So there is this type of group that is depressed and stuff feeling suicidal and trust me….when I hear the word suicide out of lack of jobs….i honestly feel like vomiting🙄 because unemployment is something you can change even by selling sweets on the streets or doing people’s laundry 🤷…you’re just too proud and consider yourself too special…yes I said it….we should be more open minded not to let small things like those lead to suicide.🙅

Remember you’re doing your freaking best and if no one is proud of you at least be proud of yourself… and also NOT EVERYTHING YOU THINK OF YOURSELF IS TRUE. So be kind to yourself when emotions are beating you up.💌 You only gat you. Breathe and live life at your own pace. You’re having a bad day..not a bad life🌚 So focus on the positive you silly lil beach!😊😊💙💙

There is the second type of people who know this world is not their home and hustle in whichever way possible.(p.s I advocate for honest hustle)….Sir Jah bless the work of your hands…umaraya nimekataa kwa hii platform..😂😂

Second issue….Xtian tells peeps to toboa about their views on LGBTQ and peeps go on and talk about threesomes…sijui what……bisexuality…prisss….bisexuals tuachie wazunye wa Kenya ni umaraya tupu…🌚.Infact most of LGBTQ in Kenya are just confused species coz dis shit is still foreign to Africans,,,,argue with your bundles…😑

Bottom line,,,it’s suicide prevention month and you matter and all that stuff but remember it’s all up to you to help yourself..cause you got your own back. I think you’re gojias💯.vibe with your demons..feel your feelings but Don’t give up…No woman No cry……💁

Other articles by Sharon Lotui:

1. Enyewe hari mfuatilie Sonko na mavela, kuliko hii addiction iko Kenya… Punyeto. Click here to read.

2. Here goes a revolution against Stivo Simple Boy’s notion, “Vijana Tuwache Mihadarati.” Click here to read.

3. Is it just me or y’all that lower the system when Zimenishika comes on your system? Click here to read.

Subscribe to Sharon Lotui’s Blog and get notified every time she posts a new article by clicking here

Discover more articles on DekuTrends:

1. Beat Stress and Anxiety by Detaching Yourself From Your Thoughts. Click here to read.

2. Kuna Nyang’au Ilinikulia Dem. Click here to read.

3. Isn’t it ironical that most people prefer to be away from home? Click here to read.

THE RADICAL WAFULA BUKE

By | Politics 101 | No Comments

*By Concerned Comrade John Gwambo*

The giant and vocal student organization of Nairobi University SONU is a student body that has been stalked by controversy in various occasions but perhaps it is the 1987 office that holds the record. It is the shortest serving in the institution’s history having had office bearers for barely 9 days before it was disbanded. Robert Wafula Buke, a third year Political Science and Philosophy student had been elected its chairman. It was a period when the second liberation struggle was almost at its peak and university students had been roped in as well.

Wafula Buke

The underground political movements were on and several people had been jailed in connection with the Mwakenya Movement. So, by this time rising up to speak against the ruling regime in existence was unimaginable, it was like greeting your close relatives and bidding them goodbye bearing in mind that you could be gone and coming back was not a surety.

Wafula Buke and his team tried taking over the student leadership in 1986 but their efforts were thwarted by the system. Come 1987 he successfully ran for the chairmanship position and won in an election that was highly contested.

After winning his seat the new chairman constituted his kitchen cabinet of four namely: Kaberere Njenga as the secretary general, Miguna Miguna as the secretary in charge of finance, Munameza Mlegi as the foreign secretary and Munoru Nderi as the vice-chairman; all who agreed to push for one agenda – fighting for reforms. Wafula Buke admits that this was one of his happiest moments in life; when the five of them took a solemn vow to take the bull by its horns having been aware of the dire consequences that included not finishing their studies, being jailed or even heading for exile.

This was the era when university students were being viewed as the conscious of the society trying to raise issues that no one would talk about as there was no opposition with most leaders’ pigeon held by the state of one-party system.

Their philosophy was tailored around the cold war politics of the time which was socialism versus capitalism. As a strategy for ensuring that he would not be singled out by the establishment, he decided to develop radical policies for every ministry so that when they went to address students in a kamukunji, the five of them would come out strongly and unbowed. After fine tuning their manifesto, the newly elected SONU leadership which was only 9 days old in office called for a kamkunji at the university’s Great court to spell out their manifesto whose main highlight was that students be allowed to participate both in national politics and in day to day running of the university.

As a matter of fact, the student leadership by then attracted comrades with great oratory skills and articulation of radical policies from the days of James Orengo, Kihoro Wanyiro, PLO Lumumba, Aloyo Omondi and Mwandawiro Mghanga. This was greatly informed by the politics of the day.

President Moi had increased the student boom from Ksh.2,500 to Ksh.5,000 to avert any conflict with the university students but one Wafula Buke had a different opinion. He came out clearly on the issue and in the capacity of SONU chair saying he would not thank the head of state, reason being the increase was as a result in the change of economic conditions in Kenya and students were not responsible for that. Buke also banned tribal organizations saying they were being used by the establishment to cause more division among comrades and therefore declared them inconsequential.

However, to Wafula Buke (the shortest serving SONU chair whose term reigned for only 9 days) perhaps it was just a matter of time and on the 9th day at night state mercenaries pounced on him. Information from the National Intelligence Service had revealed that Buke’s room 101 hall 11 nicknamed The African National Congress headquarters by the students was a threat to the government. He had a good sound system that used to play radical speeches from Malcom X, Martin Luther King Junior, Luis Farrakhan and all the collection of speeches. He also had the pictures of Che Guevara, Fidel Castro, Thomas Sankara, Amilcar Cabral, Julius Nyerere and Muamar Gaddafi whom he confessed that he really loved for engaging imperialism in the world, clearly mounted on the walls of his room. Those were the heroes that he kept and besides that he also had clandestine materials with a defining mark of having a connection with the underground movements consisting of comrades who went to prison and left after serving their terms.

Most of Wafula Buke’s peers whom he went to school with including the current senate speaker Kenneth Lusaka have stated so many times that he is a born leader. In fact, when they were in the National Youth Service what used to be the pre-University service, he could lead people to resist some of the instructions that appeared mundane to him. He also asked the then KANU secretary general the late Mr. Nathan Mnoko why they were expelling people from the party and there was only one political party by then. Where did they expect people to go?

From here he was a marked man and even received summons from the institution for questioning into the reason why he was asking such radical questions to a high-ranking government official. But this did not stop him. He later transferred his calling and changed course from Kenyatta University which was by then a branch to main campus, University of Nairobi just to do politics.

After being held in various police stations across the country for 13 days, Wafula Buke was arraigned in court but pleaded not guilty on his seditious publications and was handed a four-year jail term from 1987 to March 1991. While in Kamiti, Naivasha and Bungoma prisons where he served his term, he continued plotting the struggle.

After leaving prison, Buke went as far as being trained in guerilla warfare in Uganda in an attempt to violently overthrow the one-party state, a plan which was shelved when the state relaxed its repressive laws and agreed to multi-party democracy in 1991. Buke was also hunted down in the early 90s for being associated with February Eighteenth Revolutionary Army (FERA), a ragtag militia that unsuccessfully attacked Kenya from Uganda in a failed coup attempt. Wafula Buke is currently serving as the deputy director in charge of strategy at the ODM party office.

Read more articles by John Gwambo:

1. A Parliament of Relatives. Click here to read.

2. Young Politicians in Kenya are a disappointment. Click here to read.

3. The Controversial Murathe. Click here to read.

Dance Like No One’s Watching

By | Blog | No Comments

*By Mbatia Gachana*

Dancing is mostly taken as a form of expression for many only that these days it’s not a common way of expressing oneself – not as common as smiling and singing. On YouTube, TV, we often see professional dancers doing it so perfectly all in sync with the moves and even if we want to learn we can’t learn as fast. Since those perfect and sequential moves take days or even weeks in practice to master. Youths have formed dancing groups; which is really helping them in improving their talents and in many more other things in life.

Ever wondered why you’ll find a person obsessed with dancing and all he or she can say about dancing is ‘Dancing is life?’ It’s all about what dancing has made him accomplish in his or her own life leaving aside any financial gain received.

Aside from improvement in talents, dancing also gives one other benefits which include:
1.Discipline
2.Fitness
3.Peace of mind
4.Improvement in creativity etc

Discipline

Discipline often comes when one is always punctual in doing the things you’ve planned for. Planning to dance whether it’s freestyle or in practice gives you discipline as a life skill which will go a long way in enhancing discipline even in other sectors such as education.

Fitness

Going to the gym everyday and jogging every morning is good for your health. But dancing is capable of giving fitness to areas where gym and workout can’t. Adding dancing as part of your workout can give you an almost full package of fitness.

Relieving Stress

Dancing makes you tired and reduces stress about things that maybe piling up in your brains which may affect your life in a negative direction. Taking dancing as a stress reliever is a way to reduce all that tension which can pile up giving you the peace of mind you would want.

Enhancing Creativity

Dance is always evolving and as you create those moves you use creativity. Creativity becomes something in you and can also work in other areas of your life. Dance is also an art where anyone can create something extraordinary. People should dance like no one’s watching and just focus on themselves.

Song:Swae lee -Dance like no ones watching.

Feel free to leave your comment at the bottom of this page

Discover more great reads on DekuTrends:

1. Kuna Nyang’au Imenikulia Dem, in the Silicon Editorial. Click here to read.

2. About Last Night. Why some students want universities reopened. Click here to read.

3. Unveiling the Mysteries Behind Birth Control and the Menstrual Cycle. Click here to read.